GE2025 Maagizo ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm kurudisha majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima hayajatekelezwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Chief Mwigendya

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
228
Reaction score
196
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?

Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi agizo limetekelezwa ?
 
Walio enguliwa wamekubali kushindwa.
 
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?

Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi agizo limetekelezwa ?
Hao iwapo kwenye mambo ya maslahi ya taifa wameshindwa iwapo ni mtihani wana miswaki tupu au F zote na vipi ya ndani ya chama ambacho kimezamishwa kwenye mifuko ya familia chache zinazojiona ni wamiliki wa hili taifa,watu na rasilimali zake?
 
If you can't fight them , join them hii inaweza kusaidia hata kama Kwa kuchelewa .
 
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?

Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi agizo limetekelezwa ?
Watu kuanzia jana wamejinadi na siku hiyo amosi anatangaza,wangepataje mda wa kujinadi? Na siku zimebaki mbili?? Mtoa tangazo hakujiandaa.
 
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?

Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi agizo limetekelezwa ?
Hukumuelewa.
 
Hawaja wahi kuwa na maana halisi kwenye kila wakifanyacho.
 
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?

Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi agizo limetekelezwa ?
Sasa sisi tufanyaje?
 
Katika hili CCm imejitengenezea NRNE
 
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?

Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi agizo limetekelezwa ?
Haituhusu
 
Back
Top Bottom