Maafisa wa TAKUKURU wamemilikishwa bastola?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Huko Tunduru nimeona jamaa wa Takukuru amemuua mpenzi wake kwa bastola aina ya Blowing.

Maafisa wa Takukuru wanamiliki silaha za moto kikazi au personal? Kwanini wamilikishwe chuma?

Wajuvi karibuni.
 
Kazi yao ni kupambana na mabeberu silaha ni kitendea kazi na siku za mbeleni tutawapa mabomu na maguruneti. Hii vita ni kali sana.
 
ila jamaa kafanya fair ya hali ya juu, ingetakiwa amchome na gunia mbili za mkaa huku mzee mama akiwa amekufa
 
Huko Tunduru nimeona jamaa wa Takukuru amemuua mpenzi wake kwa bastola aina ya Blowing !

Maafisa wa takukuru wanamiliki silaha za moto kikazi au personal ? Kwanini wamilikishwe chuma ?

Wajuvi karibuni.
Kwani hiyo bastola ilikuwa ya kazini au yake binafsi?
 
Back
Top Bottom