Maafande hawa wapo wapi?

Maafande hawa wapo wapi?

Kadogoo yupi?
Ooh, kumbe, pole sana, he was my hero kwa kumshughulikia jambazi sugu Kadogoo pale Moshi, Nakumbuka baba yake Kadogoo alimzawadia Sh. 60,000/= kwa kumuua mwanae tishio, enzi hizo ilikuwa fedha nyingi sana. Nasikia pia ni Kaka wa Rose Kamili mbunge wa CDM.
Sikujua maskini, RIP Joakimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma:

Afande Sajent Mwambungu
Saba Sita
Sharpshooter Alex
Joakimu Kamili
Aliyefahamika kama Jobiso
Rasta blacky
Mm nimeona maafande nikajua watakua maMaj na kuendelea kumbe Sgt uwe unataja vyeo vyao kuna maafande wao humu hao ni maafande wako ww maana wanakuzid vye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom