Maafande hawa wapo wapi?

Maafande hawa wapo wapi?

MpigfilimbiwaHamelin

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
652
Reaction score
169
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma:

Afande Sajent Mwambungu
Saba Sita
Sharpshooter Alex
Joakimu Kamili
Aliyefahamika kama Jobiso
Rasta blacky
 
Saba sita yuko dar police sasa hivi ni afisa inspector wa police alipata promotion baada ya kuaandaa lile jeshi la kikoloni la police pale uwanja wa taifa Kikwete akafurahi sana akapandishwa cheo pia ni mtu wa kijituma sana kazini ni miongoni wa police wazalendo SABA SITA
 
Wapi Mkanasharp?
 
kapandishwa cheo wakati waziri mwakyembe alimtaja hadharani kuwa alikuwa anampango wa kumuua huko moro
PATRICK%2BKIMARO%2BSABA%2BSITA%2BNAGAWA%2BCHAI%2BKWA%2BWAETHIOPIA%2B103%2BKTK%2BMAHAKAMA%2BYA%2BHAKIMA%2BMKAZI%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B4.JPG
 
Meja Rashidi Athumani 1979/80 alikuwa Singida FFU
P. Nduye mara ya mwisho nilisikia yupo Morogoro wenye taarifa zao mnijuze
 
Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akaajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani
 
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma:

Afande Sajent Mwambungu
Saba Sita
Sharpshooter Alex
Joakimu Kamili
Aliyefahamika kama Jobiso
Rasta blacky

Watatu wa mwanzo wako kwenye nyumba hiyo
na wawili wa mwisho kila mtu ana kazi yake unavyoiona ...Jobiso ana saga rumba na rasta anafanya yake kama alivyokaa hapo chini
 
Attachments

  • 10557422_912886858727892_9183285972472523492_n.jpg
    10557422_912886858727892_9183285972472523492_n.jpg
    44.4 KB · Views: 454
  • 10547654_684682258288757_695392811039958993_n.jpg
    10547654_684682258288757_695392811039958993_n.jpg
    15.9 KB · Views: 442
duh jamaa alikua anajikoki manati, rungu, sime, bastola, pingu na makorokoro kibao full mikwara uwanja wa taifa

alitingishaaa sana wilaya ya kino sema wakamtuliza na mlungula ....ila sahv yupo mmoja anaitwa swai ni balaaa alikuja na moto sana kdg speed inapungua naye
 
Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani
Uuuwiii:A S-cry:.... R.I.P. schoolmate. Alifariki mwaka gani kwa mwenye taarifa.
 
Watatu wa mwanzo wako kwenye nyumba hiyo
na wawili wa mwisho kila mtu ana kazi yake unavyoiona ...Jobiso ana saga rumba na rasta anafanya yake kama alivyokaa hapo chini

Dah...!!! Mkuu hizi picha ulizitoa wapi aisee.?
 
hivi na yule police alikuwa central alikua anajifanya bondia koba kimanga hivi naye yuko wapi.....
 
Back
Top Bottom