Wikileaks wamechapisha E- mails walizozidukua zaidi ya 20,000, kutoka DNC, huku baadhi zikionyesha kuwa bibi Clinton alibebwa dhidi ya mpinzani wake Bernie Sanders, huu ndio mwisho wa bibi Clinton?
Wampe tu Donald Trump. Matukio yanaoendelea Marekani ya Mauaji ya wao kwa wao kwa tofauti za Rangi za ngozi zao vikosi vya Kulinda Amani vinahitajika Marekani kama wao wanavoshobokeaga kwa wenzao

I feel there is some cognitive dissonance hapo. Kwa upande mmoja unaonekana kukerwa na mauaji ya kibaguzi. Lakini kwa upande mwingine unamshabikia Trump ambaye siku zote yuko katika kuwagawa watu kama us vs them. Mwelekeo huo wa Trump ni recipe ya maafa zaidi ya kibaguzi. Kwa hivyo sielewi kama unafanya ushabiki tu au unafuata mantiki fulani.
yule mama anawakati mgumu sana kushindana na muheshimiwa trump. na tatizo yule mama alitumia muda mwingi kumuimbia trump hadi akasahau kufunga milango ya nyumbani kwake.
wanasema unapo shangaa kwa mwenzako kunavyo ungua basi ujue kwako ndio kunateketea.