Aisee. Katika vita yoyote, hatua ya kwanza ya ushindi ni kujua adui ni nani. Maana huwezi pambana tu halafu adui humjui. Na ukisha mjua njia nzuri ni kumaliza kuanzia kwenye mizizi yake. Nakushauri kama hivyo ni adui kwako.....USIOE USIZAE USITAFUTE MALI ISHI KAMA NDEGE.