Maadui watatu wa mwanaume hapa duniani

Maadui watatu wa mwanaume hapa duniani

Aisee. Katika vita yoyote, hatua ya kwanza ya ushindi ni kujua adui ni nani. Maana huwezi pambana tu halafu adui humjui. Na ukisha mjua njia nzuri ni kumaliza kuanzia kwenye mizizi yake. Nakushauri kama hivyo ni adui kwako.....USIOE USIZAE USITAFUTE MALI ISHI KAMA NDEGE.

Huwezi kukimbia wakat utashi unao....kitu kizur ni kuweka misingi mizuri tu ktk familia..kuwa muwazi kwa mkeo...hata kma ww ni tajir kias gani usiwadekeze watoto..wapende kibishi bishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom