elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 82
Katika maisha ya kawaida hapa duniani kila mtu ana maadui zake... Kwa upande wangu maadui zangu mimi mwanaume ni MALI ZANGU, MKE WANGU NA WATOTO. Vitu hivi vitatu kama visipokuwa makini mwanaume unaweza jikuta katika mateso makubwa sana katika familia.