Maadui wa waandishi wa habari

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
[h=3] Kwa muda mrefu baadhi ya wananchi na baadhi ya waandishi wa habari wenyewe wamekuwa wakiwatafuta maadui zao. Kutokana na hali hiyo mtandao huu wa ww.kalulunga.blogspot.com umeamua kuanika maadui watatu wa wanataaluma hao.
Maadui hao ni
1. Njaa; kwasababu wengi wao hawajaajiriwa na hawana shughuli zingine achilia mbali wale walioko serikalini na kuwa ''cover'' kwenye taaluma hiyo. 2. Kujipendekeza kwa maofisa wa Polisi na kuwahatarishia usalama wenzao kwa kupeleka umbea ili wapate chochote huku wasijue kuwa ni hatari kwao pia( Hapa sizungumzii kuhusu kufanya kazi za kiuandishi na Polisi). 3. Umalaya.

Hao ndiyo maadui wakubwa watatu wa waandishi wa habari Tanzania.
[/h]



Posted by GORDON KALULUNGA
 
Back
Top Bottom