Kuala Lumpur Member Jul 28, 2017 20 19 Dec 3, 2017 #1 Dah! Hii kweli dirisha dogo.....kwa nn hawa jamaa wanaingiza nchi kwenye hasara kwa kurudia uchaguzi tena.....c ni bora angesubiri ahame 2020 ili hizi hela za kurudia uchaguzi zikafanye kazi nyingine
Dah! Hii kweli dirisha dogo.....kwa nn hawa jamaa wanaingiza nchi kwenye hasara kwa kurudia uchaguzi tena.....c ni bora angesubiri ahame 2020 ili hizi hela za kurudia uchaguzi zikafanye kazi nyingine
Night Watch JF-Expert Member Apr 4, 2017 2,014 1,973 Dec 3, 2017 #2 Tatizo wapo kwenye usajili kila chama kinapigania mchezaji bora