johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,685
Kufuatia mmomonyoko mkubwa wa maadili ktk nchi yetu, nashauri somo la Civics lifundishwe kwa lugha ya Kiswahili ktk shule zetu za sekondari.
Zamani kulikuwa na somo la Siasa ambalo lilifundisha uzalendo kwa nchi yetu.Nakumbuka hata kupata uanachama wa CCM ilitulazimu kupata mafunzo ya miezi 3 kabla ya kutunukiwa kadi ya uanachama.
Mafunzo yale yalitujenga ktk uadilifu, uzalendo na mapenzi yaliyotukuka kwa nchi yetu. Baada ya Mrema kuhamia NCCR mwaka 1995 ili kujipatia wapiga kura alianzisha mtindo wa uanachama wa "hapo kwa papo" CCM nao wakaiga na huo ndio ukawa mwanzo wa CCM kuwa "kokoro" kama alivyosema RIP Komba.
Tuwajengee watoto wetu spirit ya uzalendo kuanzia sasa kwani majambazi ya rasilimali zetu yametapakaa kila kona hadi humu Jf yameingia kwa ajili ya kutukatisha tamaa.Nawasilisha!