CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,480
Msigwa angelimtafuta huyu Polepole akamtaka alisemee hilo!Am waiting for Mr Humphrey Polepole......
Am waiting for Mr Humphrey Polepole......
Msigwa angelimtafuta huyu Polepole akamtaka alisemee hilo!
Nilimtoa maana aliposema kiongozi akiwa na tuhuma tu hata bila kuthibithisha hafai kuwa kiongozi. Wakati huohuo akasema anapendekeza Nchemba na January wapewe uwaziri.
Makamba sawa, Nchemba ana tuhuma ngapi hadi sasa hata kama kazikanusha?
Naona haelewi watu wanaposema mfumo.
CCM watajuta mwaka huu. Kumbe kuna chuki kubwa na LowasaKama Andrew Chenge ambaye kila skendo kuanzia ile ya rada yumo, ndege ya Rais yumo, kivuko cha Kilombero yumo, Meremeta yumo,Deep Green yumo, Escrow ac. yumo na yeye hakatwi, Tunasema tutampiga tafu Lowassa mpaka master bed-room ya ikulu. Hakuna kulala. Acha Magufuli atoe milungula yake ya laptop kwa mashemeji zake mama Salma.
Kama Lowasa alikatwa kwa upungufu wa maadili, then kama CCM wako sincere, Anna Tibaijuka na Chenge and the like wangelikatwa due to Escrow scandal. Haikufanyika hiyo, then why pick up on Lowasa!
Yes amesema Mgeta! Very strange, huyu ndiye amesema ukweli wa kikao hicho. Very brave person kusema what actually transpired there!Mwenyekiti alikuja na majina mfukoni
Kama Lowasa alikatwa kwa upungufu wa maadili, then kama CCM wako sincere, Anna Tibaijuka na Chenge and the like wangelikatwa due to Escrow scandal. Haikufanyika hiyo, then why pick up on Lowasa!