maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,338
Wana wa Africa wa Tanzania amani iwe kwenu.
Shirika lisilo la kiserikali la AFRICAN STEP ORGANSNIZATION Lenye makao yake Iringa linapenda kuwaalika watanzania wote kuhudhuria maadhimisho hayo muhimu kwa sisi waafrica kukumbuka siku tulipotua kongwa la madhila tuliyofanyiwa na wakoloni.
Mahali na waendesha midahalo tutawajulisha. Hii ni siku kubwa sana kwa sisi kama waafrica kwa kuwa inatukumbusha historia yetu ya ukombozi na kuangalia mbele ktk kutafuta economic freedom ili jasho la wazee wetu na damu ya ndugu zetu wakati wakitafuta political freedom iwe na maana kamili kwetu na vizazi vijavyo.
Nitakuwa nawapa update kila mara ombi langu wenye nafasi siku mje tujali hatima yetu.
Waandishi wa habari na vyombo vyote vya habari mnakaribishwa sana.
Make Africa great again.