Maadhimisho ya miaka 50 MUHAS yamwagiwa tope.

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Ni baada ya wanachuo kwenda sehemu ya maadhimisho na kuanza kuimba nyimbo na kupiga miluzi. Hii imesababisha eneo hilo kukosa utulivu na usikivu. Mgeni rasmi ambaye ni waziri wa sayansi na technologia ametolewa kwa msaada wa ffu.
 
Safi saaaaaana. Tusubiri na kesho kumwita jk Mwizi mbele za wageni wake
 
Back
Top Bottom