Mr Mikazo JF-Expert Member May 26, 2016 1,586 794 May 27, 2016 #1 hivi ving'amuzi vya startimes vya 22000 vipo kwel au matangazo tu? hapa mbeya vipo wapi? tujuzane plz
hivi ving'amuzi vya startimes vya 22000 vipo kwel au matangazo tu? hapa mbeya vipo wapi? tujuzane plz
Mr Mikazo JF-Expert Member May 26, 2016 1,586 794 May 29, 2016 Thread starter #3 edsonmsakala said: Kwa dar vipo Click to expand... sawa mkuu
Damidizzo JF-Expert Member Apr 28, 2014 400 172 May 29, 2016 #4 Hiv vidude vipo ila labda cha kuuliza ni kama vinashika popote nchini au ni baadhi ya maeneo kama tigo 4G...
Hiv vidude vipo ila labda cha kuuliza ni kama vinashika popote nchini au ni baadhi ya maeneo kama tigo 4G...