matiko sibora wambura Member Joined Aug 22, 2022 Posts 5 Reaction score 1 Sep 2, 2025 #1 Katika kipindi Cha miaka 4 ya Serikali ya RAIS Samia Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
Katika kipindi Cha miaka 4 ya Serikali ya RAIS Samia Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,644 Reaction score 860,865 Sep 2, 2025 #2 Dodoki linaendelea
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,518 Sep 2, 2025 #3 Naona Baada ya sister kupitishwa, Ukoo mzima wa matiko octoba mtatiki😀
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Sep 2, 2025 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
onestopcenter JF-Expert Member Joined Aug 28, 2025 Posts 364 Reaction score 730 Sep 2, 2025 #5 onestopcenter PhD in Organic Chemistry ⚗️
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,687 Reaction score 97,486 Sep 2, 2025 #6 Unaijua mahabara ya kisasa mbwa wewe?