TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 109
ex ndio nini hiki?
ex ndio nini hiki?
mpenzi au wapenzi wetu Wa kingono tuliokuwa na mahusiano nao siku za nyuma
Hii michezo yenu na Ma-ex mtakuja kuijutia...
Msije kusema kuwa sikuwambia!
Utaalikaje mahawara zako wa zamani kuja kwby sherehe yako.
Kama hatujakosana nini kinatufanya kutengana nao?
Koba, elewa kwamba waandishi wa nyumbani ni waoga kuonekena kimbelembele na hasa wataonekana hawana "nidhamu au heshima". Waandishi wetu bado hawajafikia mahali pa kumkatisha mtu anapoanza kuzungumza na kuingilia mtiririko wa mazungumzo yake na kumuuliza maswali ya kina. Binafsi, nilitarajia waandishi wangefanya unavyosema lakini ingekuwa pale anapomaliza tu na kufungua ukumbi wa maswali basi wanaanza kumuuliza na tena wangemuuliza on specifics. Ila well, ndio uandishi wa bongo.
Kama hatujakosana nini kinatufanya kutengana nao?
Hawara hana talaka.
kama ulishasex na wanawake 200 unawahitaje hawa?
ex ndio nini hiki?