Nilivyokua na umri mdogo niliwah kufikiria kwamba ukiwa na pesa lets say 10 ml matatizo yte yanakwisha,,na mbaya zaid nilizid kuamin kwamba ili binadamu uwe tajiri sana lazima uwe na pesa nying sana,na nilipotea zaid kwa kuamin na kuiwaza hela asubuh,mchana,jion na usiku, aseeh nilipotea sana kama sio mama mmoja aliefanikiwa kuniondolea utumwa akilin,,aliniambia ukiwaza pesa muda wote hakika kuna muda utajichukia na hutarudhika kwa chochote,na kama unadhan pesa nying inaweza kukupa furaha bas umefel sana ktk ubongo wako,na akanisisitizia kwamba ukijua kuitafuta sana bas ujue nankuitumia sna,na mwsho akanisisitizia kwamba hakuna muda maalum wa kupata pesa ikiwa tu una uhai na afya bora,bila kusahau pia hakuna muda ambao utafirah maishan kama utaweka hela ndio kila kitu,muda wa kufurah ni kipind hcho hcho ambacho unazisaka lazma utenge muda wa kuyafurahia maisha,,bila kuogopa kwamba nasubiri zijae maana kikanuni hua haizitoshi kila siku... Nam nikabadilika sa hzi nakula maisha bila stress nying za mambo ya hela japo nazisaka vizur tu bila bugudha