Ma-super star wa jf...!!

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
kuna watu hapa jf wanamajina makubwa kwa umaarufu wao hapa jf hasa ktk michamgo yao.mimi hawa watu ningependa kuwaita masuper star wa jf! Kwangu mm wapo wengi kama The boss, klorokwin, nyani ngabu,asha d,husninyo,afrodanz na wengine wengi.... Endelea na wewe....
 
mbona mnachabo tu na kuingia mitini?
 

hao wote inawezekana ni mtu mmoja tu
 
Ni wengi kaka, wengine kama homa za vipindi jioni inapanda.... ha ha haaaaa
 

ohhhh
man thank you, thank you far too kind ... 🙂
I love Friday night ..
 
Lizzy hayo ni mambo ya writing erra,nilimaanisha afrodenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…