Ma name Samir-natafuta mchumba

Ma name Samir-natafuta mchumba

Hassmak

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
80
Reaction score
2
Habari zenu wapendwa mi nko zenj kitaa mpendae sijawahi kuwa na girlfriend so nahitaji mpenzi atokee zenj kama upo me namuhtaji.
 
Zenji wing kujeni huku haraka mwanenu ataka ntu...!!!
 
Watoto wazuri wapo,makunduchi,mchambawima,kule karibu na skuli ya dole,pale mpendae,na kiembe samaki.....usiku nenda forodhani,ushanifahamu maaalim wangu....
 
Mie nipo baraaaa lakini kwa ajil yako maji ntavuka!
 
Watoto wazuri wapo,makunduchi,mchambawima,kule karibu na skuli ya dole,pale mpendae,na kiembe samaki.....usiku nenda forodhani,ushanifahamu maaalim wangu....
hebu nicholee ramani,nikishuka kwenye boti,napata daladala ya wapi nifike huko,natamani sana demu wa kizenj.
 
Hawa si ndo wale waliberal!
wanamichez yao,aku si wa tz hatujazoea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom