Ma-manzi wa Dar na fake lifestyle

Ma-manzi wa Dar na fake lifestyle

Yaani akishasema anasoma mawasiliano nakata hapo hapo visumbufu halafu hata mambo havijui
 
Hivi ninyi mmekuwaje

Kwan mpaka muwe mmekaliana uchi ndo akuombe hela?

Ni dhambi kukuomba km rafiki?

shida sio kuombaaa....tatzo nyie mnajiombea tu pesa....mnaona raha kuomba omba....hamjiheshimu kwny uombaji wa pesa
 
Nimeshawahi kuombwa kodi ya nyumba ya miezi sita na demu ambaye nimemla mara moja tuu.. Wakati Mimi mwenyewe kwangu nadaiwa kodi.. Jibu nililompa ngoja mshahara utoke ntarekebisha mapaka tarehe za mishahara Nishapakua kama mara tatu hivi siku ya mshahara nikamweka blacklist na mapenzi yakaishia Hapo...nowdays wanawake wanatuona sisi kama ATM
 
mamaee mm mpaka mwanamke anichune itabidi atumie timing nying sana kama kumpiga kobe kabari

hapa leo kuna dem nimempigia tu kaanza kunitangazia shda nimtumie 50k sio kama sina hela sema hua si entertain mwanamke anaeomba pesa kizembe bila sababu
Mamaaeee, kwanza atakuja kwa gear ipi haswa?
 
Mkuu mimi nilimpata mmoja ukimuita geto anaumwa mara UTI mara hedhi, Alikuwa wa chuo(sina uhakika), basi siku moja akaomba ada 100k amepeleza, nilipomwambia ntampa kesho asubuhi akasema aje alale kabisa ili aondoke nayo. Nkamkubalia akaja, asubuhi nkamwambia wacha niende Bank kumtolea hapo hapo akaingiza bajeti ya gauni la harusi ya dada yake 25k na kiatu 20k, nkamtega kuwa basi asubiri next week nimpe 200k akakubali, nkaona hana shida na pesa maana mwanzo wakati anaomba hela ya ada alisema kapewa siku 1 lasivyo atafukuzwa chuo, nkaamua tu kumuweka black list maana kuwasiliana nae wakati mwingine UJINGA UNAAMBUKIZWA.
 
Kutana na demu mmachame amu promise uta mtumia hela afu usitume... hio mvua ya matusi atakayo kunyeshea uta nywea...
 
Back
Top Bottom