Duuuh ndug yang umeongea jamb zuri lakin umeshindwa kukumbuka wakati.
Enzi za mtandao kuzidiwa zilikuwa 2010 kushuka chini (kwa dunia ya sasa)
Lakini miaka ya sasa, ukiona mkuu wa idara kama NECTA anatoa sababu hiyo, basi futa kazi mara moja
Facebook ina-access ya dunia nzima na haijawahi kuzidiwa, hawa NECTA wana-access ya watu chini ya 20mil, na wanazingua miaka yote.
Nimeshindwa kuona matokeo ya shule yangu hadi muda huu, si necta, wala blog inayofunguka.
Video ina-play online, lakin maandishi ya NECTA hayafunguki