Ma-IT wa NECTA mjitathmini

mkuu acha kutetea vitu vya hovyo, mimi baada ya kuona hayafunguki nimeamka saa nane usiku hakuna kitu website halifunguki mpaka sasa nimejaribu hakuna kitu
 
mkuu acha kutetea vitu vya hovyo, mimi baada ya kuona hayafunguki nimeamka saa nane usiku hakuna kitu website halifunguki mpaka sasa nimejaribu hakuna kitu
sasa mkuu hapo nimetetea nini, hiyo issue inayotokea kwa necta hata kwenye vyuo vyetu huwa inatokea pindi wakitoa matokeo.
 
Hadi usiku wa manane? kumbe watu hawalali?
 
Hadi usiku wa manane? kumbe watu hawalali?
kwani wakati watu wana apply loan board ilikuwaje, mbona walikuwa wanalalamika kuwa hata usiku wa manane system ilikuwa inasumbua. hao nao vipi, ni kwamba system nyingi za hapa kwetu huwa haziwezi kuhudumia watu wengi kwa wakati mmoja.
 
Tatizo ni lao, hakuna namna wanaweza kukwepa. Hivi ni watu wangap wana access website mbalimbali za dunia kwa sekunde na hakuna shida? Lets say Facebook, japo hii ni system, lakini wasikatae they are very weak
 
kama ni hivyo kwanini wasiongeze server wakati ni website ya serikari. yani ni aibu.
 
yaaan majanga matupu wabsite hazifunguki halafu zikifunguka shule zenyewe hawajapanga katika Alphabet order, unaweza shangaa unatafuta shule wiki 2 hujaona hahhahhaha fully vituko!!
 
Wajitathimini kama wanatosha kuendelea kuktakia hizo nafasi. Ni upuzi kwa technologia ya sasa na hiki kinachotokea necta
 
Taasisi za sirikale zote haziko vizuri hata ukienda watumishi portal nao haifungukagi kabisa!!!
Jana Mimi nikadhani labda tatizo ni ka-ipad kangu ka 1.2milion ndo kana tatizo kumbe ni wao!!!!
Aibu sana
 
Kwani wale wa kukodi wanafanya kazi sehemu gani, si waende kuongoza nguvu mambo yaende
 
Hili tatizo hata website ya jkt ni hivyo hivyo yani yakitoka majina ya vijana wa kujitolea inaweza maliza siku hata nne haifunguki....sijui website za serikali zina shida gan
labda wanatumia server moja serikani nzima, wanapeana zamuπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Usilinganishe server ya FB na na server za kijinga jinga ni aibu server inakuwa na uwezo mdogo alafu sio hiyo tu zipo nyingi sana za jamuhuri zina matatizo hayo
 
Alfu huweenda system yote inatumia server mbovu, outdated, na moja tubadilike basi au hatuwezi kutumia tech tuache tufanye kama zamani unaenda kuganda kwenye ubao wa matangazo
 
Duuuh ndug yang umeongea jamb zuri lakin umeshindwa kukumbuka wakati.
Enzi za mtandao kuzidiwa zilikuwa 2010 kushuka chini (kwa dunia ya sasa)
Lakini miaka ya sasa, ukiona mkuu wa idara kama NECTA anatoa sababu hiyo, basi futa kazi mara moja
Facebook ina-access ya dunia nzima na haijawahi kuzidiwa, hawa NECTA wana-access ya watu chini ya 20mil, na wanazingua miaka yote.
Nimeshindwa kuona matokeo ya shule yangu hadi muda huu, si necta, wala blog inayofunguka.
Video ina-play online, lakin maandishi ya NECTA hayafunguki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…