Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Wadau habari zenu.
Nichukue fursa hii, jumapili ya leo nicheze walau kiduchu tu , na akili zenu!.
"Uimara wa Afya ya akili umegubikwa na mazoezi ya kuifikirisha"
SWALI :-
Bubu amenunua maziwa, alipoyachemsha yakakatika!
Sasa anahitaji amfahamishe muuza maziwa, kwamba maziwa aliyouziwa yamekatika.
Unadhani atumie ishara gani muuza maziwa aelewe? Na wamekutana barabarani ambapo maziwa yale hayapo karibu?