Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Kuanzika kwenyewe hujui ex ndo nn?Kwakuwa jf most of us tunatumia ID fake ila nimewaza nikaona kwanini kila mke anayeolewa na mwanaume amdanganye kuwa amedate na wanaume wawili au mmoja tu wakati si kweli kisa hana bikra!
Hivyo basi kama wewe ni mwanaume/mwanamke unayejiamini taja majina ya wapenzi wako 10 wa zamani tuwajue maex wa wapenzi wetu ili wakome kutongopea!
Funguka jf is the only platform where we dare to talk openly.
Kuanzika ndio nini?Kuanzika kwenyewe hujui ex ndo nn?
Muache kuongopa eti oooh nishadate mmojaWakishatajwa unataka ugundue nini!
Wanaume huwa hawaulizi hayo maswali ya ume date na wangapi! . Hiyo ni tabia ya wavulanaMuache kuongopa eti oooh nishadate mmoja
Wanaume hawataki historia sioWanaume huwa hawaulizi hayo maswali ya ume date na wangapi! . Hiyo ni tabia ya wavulana
Akikuambia kuwa anajaza Fuso mbili bado utamtaka??