Ma EX wanajiamini kinoma

Tulia Bro dawa iingie,, acha kujitikisa sindano itakatika..

Dawa inayouma sana mara nyingi huwa na matokeo mazuri mbeleni,, Kaa kwa kutulia ipenye...

Jitahidi unywe maji mengi hadi moyo uelee..
 
Ukubaliane na Mimi? Thubutuu nilivyo na nyodo hivi heheheheee wanawake hatufanani akili,, hizo mambo kapange na wengine sifanyi huo upupu Mimi eti nipange na ex bla bla bla blaaa,, na uchi nikupe[emoji44] asalaleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie tuachane kwa uzuri au ubaya, Kwanza kakwambia Nani kuachana Ni kwa uzuri,, break-up zote huwa mbaya tu,

Tukiachana tumeachana wala sitakufatilia ukitoboa, ukifulia kafie mbele sina kazi na wewe
Na hii ndio nzuri sasa,yan hata akifa haitakiwi kwenda kwenye mazishi tusichoshane
 
Ila nawewe umekosa cha kufanya ,unapata wapi muda wa kumfuatilia ex, fanya maisha yako tafuta mwingine myajenge , [emoji2] x awe kama ndoto tu hujawai kuonana naye duniani yan
 
ili akurudie bila kupenda
 
...masela nimekutana na ex wangu kafubaa mbwa yule..... mamaaaaaaaa
 
Na hii ndio nzuri sasa,yan hata akifa haitakiwi kwenda kwenye mazishi tusichoshane
Ndio ndio, unaendaje kumzika ex!!Kuna watu wana mioyo ya kufatilia aisee eti anatoka na Nani mara hali yake kimaisha!!! Ili iwe nini labda!!! Ooohhhhuuuhhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaah lol
Alieweza kutusamehe cc ni Mungu tu....ila kibinadamu mtu anakwambia amekusaemehe kinafiki....bora nkulipue tu wala tusijuane tena kulikoni nikunafikie kwamba mmekusamehe
 
Alieweza kutusamehe cc ni Mungu tu....ila kibinadamu mtu anakwambia amekusaemehe kinafiki....bora nkulipue tu wala tusijuane tena kulikoni nikunafikie kwamba mmekusamehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
Apo umenena mtu akikuleta ukarimu mfanyie ukarimu mtu akikuletea ushetani mfanyie ushetani full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…