uzi wa kijinga sana huu.Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe
Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu kinampaga mwanaume stress
Sasa hivi nipo kwa mzee na fanya mambo yangu maana hizi ni dharau sasa. Sitaki ujinga mimi.
Kizito😂😂😂😂Kituuuu......🤣🤣
Sector zako za fitna mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]Tuko tofauti,
1. Kama tuliachana for goods,
ntafurahi Sana kuona akifanikiwa
Tena ntamsapoti kwa Hali na Mali ili iwe kumbukumbu nzur MAISHANI mwangu.
Mf:Linah (mhaya), Suriyana (mdigo)
2. Kama tuliachana kwa kebehi na dharau, ntafurahi Sana akiharibikiwa
Tena ntakoleza Moto Ili aharibikiwe zaidi na zaidi ili iwe kumbukumbu mbaya maisha yake yote.
Mf: Joyce (mrangi) ,Anna (msukuma), Diana (msukuma), Deninsia (mmachame)
UKIUA KWA UPANGA, UTAKUFA KWA UPANGA