Ma EX wa sasa na wa baadae mpo!!!??

Ma EX wa sasa na wa baadae mpo!!!??

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Ukianza kuona EX wako aliyekuacha kwa kiburi, nyodo, kejeli na swaga za kubetua midomo ukapandishwa ukashushwa, anakutext meseji za ghafla-ghafla kama kifafa cha mimba halafu anaforce kuingizia neno 'baby' kwenye sentensi- mgando zake ujue Mission yake ya kuku-replace na new baby IMEBUMA.

Na wana mbinu kweli,utashangaa meseji inaingia,''halo ,mambo dear,eti ofisi za EWURA ziko sehemu gani naomba nisaidie'..

Haya utamjibu ofisi zilipo, utashangaa anaendeleza libeneke, ''Vipi lakini baby uko poa, umenichunia sana kwani tuna ugomvi au ndo mapozi kisa una shem mpya kakubana'

Sasa unajiuliza Shem kunibana na ofisi za EWURA zinahusiana nini??

Unagundua hapa EWURA imetumika kama chambo tu ili kuanzishia conversation..Mchinjilie mbali atembee na bwana...

If he/she treated you like a joke please let it be funny....

Hizi ni dalili amekuona wewe ndo ----- wake, kama kuruta wa geti la jeshi lugalo, muda wowote Vifaru vikirudi kambini yeye anafungua tu geti anapiga saluti vinaingia..

Usikubali kuwa mlinzi wa geti, mtu anatoka na kuingia muda anaotaka na ulivyo zuzu we unafungua tu.
 
some truth......
 
Yaani ni kituko kikubwa. Mtu alikuacha kaona humfai leo hii anakufwata unamkubali. Hii ni nini jithaminishe bwana siyo uwe rahisirahisi eti wakati wowote mtu akikutaka anakupata, Alafu anaondoka zake baada ya mwaka anakufwata tena anakutia weee anapotea. Lol! Mi sikubali.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom