Ma EX wa sasa na wa baadae mpo!!!??

Ma EX wa sasa na wa baadae mpo!!!??

Uzi huu umenifungua kwa mengi na umekuja muda muafaka ........... Ahsante sana mtoa uzi huu;

kwa nyongeza; sio sms tu; hata ukikutana naye kwenye hizi harusi za kila wiki akajifanya kutaka kukaa nawe meza moja, hama meza akae na wengine ...
 
yaani ni kituko kikubwa. Mtu alikuacha kaona humfai leo hii anakufwata unamkubali. Hii ni nini jithaminishe bwana siyo uwe rahisirahisi eti wakati wowote mtu akikutaka anakupata, alafu anaondoka zake baada ya mwaka anakufwata tena anakutia weee anapotea. Lol! Mi sikubali.

sasa kama tiaji yake ilikuwa exceptional utampata wapi kama yule? (jokes)
 
Ukianza kuona EX wako aliyekuacha kwa kiburi, nyodo, kejeli na swaga za kubetua midomo ukapandishwa ukashushwa, anakutext meseji za ghafla-ghafla kama kifafa cha mimba halafu anaforce kuingizia neno 'baby' kwenye sentensi- mgando zake ujue Mission yake ya kuku-replace na new baby IMEBUMA. Na wana mbinu kweli,utashangaa meseji inaingia,''halo ,mambo dear,eti ofisi za EWURA ziko sehemu gani naomba nisaidie'.. Haya utamjibu ofisi zilipo, utashangaa anaendeleza libeneke, ''Vipi lakini baby uko poa, umenichunia sana kwani tuna ugomvi au ndo mapozi kisa una shem mpya kakubana' Sasa unajiuliza Shem kunibana na ofisi za EWURA zinahusiana nini?? Unagundua hapa EWURA imetumika kama chambo tu ili kuanzishia conversation..Mchinjilie mbali atembee na bwana... If he/she treated you like a joke please let it be funny.... Hizi ni dalili amekuona wewe ndo ----- wake, kama kuruta wa geti la jeshi lugalo, muda wowote Vifaru vikirudi kambini yeye anafungua tu geti anapiga saluti vinaingia..NImeipenda hii, cha kuongezea usikubali kugeuzwa doormat mtu anakuumiza then anarudi tena dawa ni kumtimulia mbali
 
Yaani ni kituko kikubwa. Mtu alikuacha kaona humfai leo hii anakufwata unamkubali. Hii ni nini jithaminishe bwana siyo uwe rahisirahisi eti wakati wowote mtu akikutaka anakupata, Alafu anaondoka zake baada ya mwaka anakufwata tena anakutia weee anapotea. Lol! Mi sikubali.


kuna tia zingine adimu...........
 
Tutor B. Yaani kwakuwa anatia kitofauti ndo akuchezeechezee tu vyovyote atakavyo kwanza mapenzi siyo kutiana. Hapana, huyo mpya utakayempata mwelekeze jinsi wewe unapenda.
 
Uzi huu umenifungua kwa mengi na umekuja muda muafaka ........... Ahsante sana mtoa uzi huu;

kwa nyongeza; sio sms tu; hata ukikutana naye kwenye hizi harusi za kila wiki akajifanya kutaka kukaa nawe meza moja, hama meza akae na wengine ...

Na ukute sasa ndio unachukua msosi halafu yupo nyuma yako..sikilizia anavyojifanya mjuaji....'usimuwekee nyama ya ng'ombe huwa hapendi, ndizi muwekee nyingi, jamani leo utapata tabu hamna sprite'.
 
Yaani ni kituko kikubwa. Mtu alikuacha kaona humfai leo hii anakufwata unamkubali. Hii ni nini jithaminishe bwana siyo uwe rahisirahisi eti wakati wowote mtu akikutaka anakupata, Alafu anaondoka zake baada ya mwaka anakufwata tena anakutia weee anapotea. Lol! Mi sikubali.

Kuna msemo kuwa "mtalaka hatongozwi". Sijui ni kweli ama lah.
 
Mademu wootee hwana ubavu wa kuchomoalea Marx wao no walaiinii kama sausage
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom