Tayari kwanza fungua code nini kimekusibu ili tukumwagie maji ya upakoJaman hv umeachana na mtu wako , unajarb ku move on yy Bado anakukwamisha Yaan hata ukimpata mtu mwngn anakuharibia yy ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lkn hatak akuone ukipata mtu mwngn hv mtu kama Huyu unamfanyj![]()
ulimpiga tukio zito sio??Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
Alifanya uwekezaji mnono?Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
Yaan anamuonya vipi elezea vizuri anamtishia au anamfanya nini?Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
Jamaa bado anataka kufidia uwekezaji ushapata loss 10 million ushasomesha sana kamaliza Chuo tu 'sikutaki natafuta anaefanana na Mimi nilishampata Chuoni'Alifanya uwekezaji mnono?
Labda ulimpiga vibomu sana kila akikumbuka ...
Ndio maana wanalimwa shaba.Jamaa bado anataka kufidia uwekezaji ushapata loss 10 million ushasomesha sana kamaliza Chuo tu 'sikutaki natafuta anaefanana na Mimi nilishampata Chuoni'
Mbona kesi ndogo haitaji kuumiza kichwa.Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
Umenikumbusha yule jamaa wa shaba 😀😀😀Ndio maana wanalimwa shaba.
Unaachwa fukara anachukuliwa na mwingine
Emu mpe mwongozo afanye nini maana yupo kwenye dilemma penzi linataka kuota nyasiMbona kesi ndogo haitaji kuumiza kichwa.
Km una Mali yke yyte ya kuhamishika uliyobaki nayo fanya umrudishie, utanishukuru baada ya hpoJamani hivi umeachana na mtu wako, unajaribu ku move on yeye Bado anakukwamisha Yaani hata ukimpata mtu mwingine anakuharibia yy ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lkn hatak akuone ukipata mtu mwngn hv mtu kama Huyu unamfanyj![]()
Kama kweli wanapendana kwa nini maneno ya ex yalete sitofahamu katika mahusiano yao 🤷🏼♀️Emu mpe mwongozo afanye nini maana yupo kwenye dilemma penzi linataka kuota nyasi