teh,teh,teh,te teee..teh,t....
Waalimu wengi wamesoma kwa taabu saaana,matatizo mengi katika kusoma kwao wengine uDK wameupata miaka 20 baada ya master d.
Waoneeni huruma tu,sio kosa lao kiukweli jamaani - ila kwa mambo yanavyokwenda siku hizi 25yrs kijana ana master d yake fresh kwa boom la mkono. Tz itabadilika tu ma ila lazima victims wawepo kama vile nyie hapo juu!!!
Ki ukweli waalim wengine wanataka ww ufaulu zaidi kuliko kushindwa maana ukishindwa ww ameshindwa na yy.Mungu ibariki elimu yetu.