Ma bank teller

Kazi ya bank teller si ni kuhudumia wateja wanaoleta mkwanja bank, kwani kuna shida akiamua kuwahudumia na vyote ____
kutoa Papuchi
 
wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..
Sema tu ni we we unataka kumuoa yule binti wa Azania bank
 
Si unajua Tabia ya Bank ukishamaliza kuweka hela unachukua Slip anasema Next hivyo hivyo kwenye mahusiano wao ni Next Next Next tu
 
Mbona unataka kumvunjia rizki mtoto wa mwenzio? hiyo ni kazi kama kazi nyengine,tabia ya mtu na malezi ndio ulitakiwa ujue zaidi kazi yake haiusiani na tabia yake.
okay sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…