Mnwele
Senior Member
- Feb 4, 2010
- 162
- 100
Wakati Tanzania tukisimama kidete kupinga swala la Ushoga, jiran yetu wa karibu Uganda wanapigia chapua kinachosemekana HAKI za mashoga.
Akipingana na swahiba wake bwana Kikwete, rais Museveni leo hii akiwa mbele ya Ikulu ya Uganda akiongea na waandishi wa habari amesema waziwazi kwamba Uganda haijawahi hata siku moja kufinyanga haki za mashoga na kwamba wataendelea kuwapa nafasi za uwepo wao katika jamii.
Rais Museven alipigwa swali hili na kuombwa kuelezea kauli ya ndugu Cameron.
My Take: Uganda ni jirani yetu, tumsikitikie ama tumpongeze?