M4Change to M4Death....R.I.P watani; Nape

M4Change to M4Death....R.I.P watani; Nape

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Hahahahahaaaa! Nimeipenda hii toka kwenye wall ya Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
 
Umeipendea nn sasa?
Inafurahisha au?
For me its as childish as playing in sand!
 
Copy basi uiweke hiuo uliyoipenda au ndio heading yako?
 
sasa hapo nn kinakufurahisha ,maana kama kiongozi kama yy anaandika vitu visivo na mashiko unategemea nn.
 
Wataalam wa Afya wamekuwa waksisitiza sana kutotumia baadi ya vipodozi kama Carrolitte kwamba zinasababisha Cancer. Huenda mwenzetu zimeshaanza kumuathiri ubongo. Anahitaji msaada.
 
Hivi hii nayo ni thread?
Tukipewa uhuru ni vizuri kuutumia vizuri.
 
Jamani ... wanasiasa kama hawawanaitia aibu nchi yetu
 
Back
Top Bottom