M4C Sumbawanga (Picha)

M4C Sumbawanga (Picha)

Mtoto Wa Mbale

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
457
Reaction score
300
Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
attachment.php

attachment.php


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20120727-00248.jpg
    IMG-20120727-00248.jpg
    257.4 KB · Views: 1,035
  • IMG-20120727-00243.jpg
    IMG-20120727-00243.jpg
    351.9 KB · Views: 1,025
  • IMG-20120727-00242.jpg
    IMG-20120727-00242.jpg
    354 KB · Views: 1,018
  • IMG-20120727-00238.jpg
    IMG-20120727-00238.jpg
    171 KB · Views: 1,023
Watu now wameamka sio wajinga tena wa kupewa kanga na wali.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
umati huu ulihudhuria mkutano wa m4c mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa cdm kwenda kwenye 'majimbo yao'.
attachment.php
attachment.php


attachment.php


attachment.php

wapi rais nape nauye na wazee wake wa ccm waone umati usiobebwa na pesa

ulivyo? Hii

ndio demokrasia ya kweli.

 
hakika magamba yatakwisha....ndo maana hawapati usingizi....Viva chadema,viva M4C:msela:
 
twanga kotekote leo kamanda nanyaro alikuwepo mianzini kuendeleza mikutano 17 ya kata za arusha kutuandaa kueleke uchaguzi wa madiwani pamoja na chaguzi za mashina kesho watakua relini

T2015CDM
 
M4c! Kamwe mafisadi


hakuna salii mtume!
2015 Mi naona iko mbali! Natamani nione ujeuri wenu na vitambaa vyenu vya kijani!

Kwishiliia mbali hamna tena dhamana kwa Watanzania!
 
Pinda and ana kilango they deserve to shoot the blame if the situation is that one.
Leo nilikua hapa mianzini makamanda wanatwanga kotekote.jana huko singida wamemzuia kamanda Tundu lisu kwa fid force kuweka road block,yaan M4C inasambaa zaidi ya avian flue.
TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.
 
Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
attachment.php

attachment.php


attachment.php


attachment.php

Hilo shazi ni la heche na munishi inatia moyo je unaweza compare na lile la magamba ambao walijaza mawaziri lakini bado hawajawafikia bavicha.Twanga kote kote hakuna kulala makamanda
 
na hapo hakuna cha kuhonga waendesha bodaboda wala nini..hehehehehe
 
dah habari njema hizi,nalala unono baada ya kuongeza 2 za moto....viva m4c,na simanjiro millya amefanya vzr,hebu walioko huko watupe update na picha
 
Back
Top Bottom