Ni wito wangu kwa chama changu chadema kuwaomba viongozi wa kuu kuelekeza nguvu zaidi kuwaomba waunanchi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudum la mpiga kura,ambalo kwa tetesi nilizo zipata kutoka tume ya taifa nec ni kwamba daftari litaboreshwa hivi karibuni kabla ya kura ya maoni ya katiba, ni wito wangu kwa viongozi wangu watumie muda mwingi kwenye oparation ya m4c pamoja daima kutoa elimu ya humuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la kudum la mpiga kura, naomba kuwasilisha;