JIBU:Big Results Now na Kilimo Kwanza ya ccm ni kuwaacha mawaziri mizigo kupeta na kuagiza mchele tani na tani kutoka Thailand.Operation mpya ya chadema nchi nzima iitwayo "m4c pamoja daima" ni kuimarisha chama au ni kampeni za udiwani tujuzane wale mnaojuwa.
Ikiwa leo operation pamoja daima imeanza rasmi katika mikoa kadhaa na itadumu kwa muda wa wiki mbili (siku 14) mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Lindi na Mtwara, mmoja wa viongozi mwandamizi wa makao makuu ya CDM amesema wakati wakiwa katika kikao walipekuliwa sana hususan simu zao ikiwa kama wana mawasiliano na Zitto Kabwe hivyo amepasha kuwa lengo kuu la operationhii ni kutaka kukutana na wajumbe wote wa mkutano mkuu na kuwatisha kabla ya kuitisha na kusikiliza rufaa ya Zitto, sasa kama chama kinatumia nguvu zote hizo kupambana na mtu mmoja tu inatoa taswira gani maana bajeti ya operation nzima ni mil 290
Huwezi kuwa mzima wewe!
Hayo mambo ya chama kimoja na hayana ukweli wowote, sokoine alikufa kwa ajali ina maaana na Chacha Wange alivyokufa kwa ajali ni Makao makuu yapo nyuma ya hiyo?ccm hamna kumbukumbu ya mambo mnayoyafanya, au labda mnadhani hatuyafahamu.
Hebu nipe majibu ya hawa watu nani alipambana nao!
- Edward Moringe Sokoine
- Abdu Jumbe Mwinyi
- Seif Sharif Hamad
- Imran Hussein Kombe
- Lyatonga Mrema
- Horace Kolimba
We kweli Mburula....Hukusikia Malengo ya M4C PAMOJA DAIMA...Mbona Magamba mnaweweseka....
Mtaweweseka sana tumwakahuu na bado!!!
Ivi hii inafaida Gani kwa Taifa ?
CDM Wanatembea na CHOPA Tanzania Nzima kueneza Chuki na Hasira kwa Wananchi hiii.....!!
Chadema Hovyo tupu.
Ivi hii inafaida Gani kwa Taifa ?
CDM Wanatembea na CHOPA Tanzania Nzima kueneza Chuki na Hasira kwa Wananchi hiii.....!!
Chadema Hovyo tupu.
Hizo huduma ulizotaja zote zinatolewa na serikali wala siyo za kudai pengine mnalenu jambo ila siyo unayosema hapo.