Tupo pamoja makamanda,Vp wana jf,zigo(zitto) hajarudi toka Nigeria?au alizidiwa akafa?anayefaham anijib.m4c-opd imemuli
Kwani ALIENDA Nigeria?, kwa kazi ya PAC au longolongo zake za kujifanya busy na u- international figure wake feki kumbe anafuatilia mishiko ya kazi aliyofanya ya usaliti aliyoingiziwa katika akaunti zake nje?Tupo pamoja makamanda,Vp wana jf,zigo(zitto) hajarudi toka Nigeria?au alizidiwa akafa?anayefaham anijib.m4c-opd imemuli
Mchana huu, Musoma Mjini itakuwa na Ugeni wa Dkt Wilbrod Slaa na Wah. Wajumbe wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Musoma Mjini, Mhe. Vincent Nyerere katika kuendeleza shughuli za Chama nchi nzima kupitia M4C-PamojaDaima. Dkt Slaa na Waheshimiwa Wajumbe wataongelea mambo mengi ya mustakabali wa Jimbo la Musoma, Mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla. Tutajaribu kuwajuza kadri ya Mikutano hii inavyoendelea.
leo hii katika mkutano wa hadhara wa m4c pamoja daima uliofanyika jioni hii mjini musoma, dr slaa ameongelea mambo mengi kwa mustakabali wa taifa letu, na kama tutayatekeleza kama taifa tutakuwa na muelekeo wa maisha bora kwa kila mtanzania na kuweka taifa letu katika dira ya maendeleo ya ki-dunia kama nchi za wenzetu za malaysia, singapore, thailand na hata uchina walivyoweza. Kwa mpango wa sasa wa miaka 50 wa umoja wetu wa afrika (au) kuhusu mustakabali wa bara letu la afrika, dr slaa na chadema kwa sasa ndiyo wanaoona muelekeo huo. Ccm vizuri wapewe dozi, na dozi hii ni mageuzi 2015.