Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,544
- 139,869
@Mods;Mmefanya makosa kuunganisha thread yangu na ile ya Nyang'wale kwani mkutano ninaoleta updates unafanyika Geita mjini hivyo naomba utenganishwe ili habari iwe valid.
Mwombe LEMA Blackberry hapo.Niko kwenye mkutano Geita watu ni nyomi, Mbowe amemaliza kuhutubia na ameondoka na amemwacha Mnyika anaendelea kuhutubia.
bahati mbaya ka simu kangu hakana uwezo wa kuweka picha.
@Mods;Mmefanya makosa kuunganisha thread yangu na ile ya Nyang'wale kwani mkutano ninaoleta updates unafanyika Geita mjini hivyo naomba utenganishwe ili habari iwe valid.
Niko kwenye mkutano Geita watu ni nyomi, Mbowe amemaliza kuhutubia na ameondoka na amemwacha Mnyika anaendelea kuhutubia.
bahati mbaya ka simu kangu hakana uwezo wa kuweka picha.
Jamani utoke Kakola,namba 9,Lushimba,Kanegele,Bumanda hadi Kharumwa kwa mguu. Acha uongo, shenzytype.
Picha za leo tafadhali
Acha kulia lia wewee usimpfundishe mods kzi
Hasira zenu haziwezi kuubadili ukweli, Chadema kwa sasa ni kama wanateleza hivi, hawazuiliki wananikera kutokumsamehe zitto, hilo tu