diplomatics
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 217
- 46
Kama ni kweli ni vizuri,mbona dr nasikia yupo ilala?
Mkuu nadhani akimaliza Ilala ndiyo ataelekea Kibaha!!Kama ni kweli ni vizuri,mbona dr nasikia yupo ilala?
Tena kwa kasi ya ajabu,hatutaki mchezo 2015,lazima tuipumzishe CCM!Wao waendelee kujadili kadi ya CCM ya dr. slaa, sisi tunachanja mbuga tu!
Wao waendelee kujadili kadi ya CCM ya dr. slaa, sisi tunachanja mbuga tu!