wenzio tukiulizwa jibu letu ni rahisi tu, yaana ni mabadiliko ya utawala dhalimu. hivyo ukiulizwa tena hilo ndio jibu lake. vinginevyo utakuwa unadanganya akili yako kama wanavyojidanganya Magamba kwa kuona kwamba siasa ya majimbo ni ya kibagusi kuliko mikoa wakati mikoa ndio imekaa kibaguzi zaidi kuliko kanda yenye kukusanya makabila mengiView attachment 95079
Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini?
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?
Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?
Huyo huyo bibi muulize anajua neno TANU au CUF ni mnyama au ndege! kama atasema ni chama cha siasa muulize amejuaje.
View attachment 95079
Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini?
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?
Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?
View attachment 95079
Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini? (Hiyo Picha siyo kijiji cha Tanzania)
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?
Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?
Asingeweza kujua maana ya TANU na ndio maana nafikiri labda ikabadilishwa na kuwa CCM au Chama Cha Mapinduzi ambapo Bibi yangu anaelewa bila shida, CUF wala NCCR haelewi na ndio maana hata hasumbuki nao, ila Chama cha Demokrasia na Maendeleo anaelewa maana yake na anawakubali ila wanamchanganya hapo tu kwenye M4C maana yake!
Hah hah..Ndio maana magmba hawapendi sana JF ingawa wanaitegemea sana....kwani hakosekani mtu anasema kitu ch amzaha ila kinauma sana,kitu inayo derail mpango mzima.Ukiona bibi yako mpaka anakuuliza kuhusu M4C ujue lengo limefanikiwa.Swali aliwahi kukuuliza kuhusu CUF nini?Taratibu kadri muda unavyosonga mbele na wewe kadri unavyoendelea kufanya snap-shot survey yako na watu wa umri wote ndivyo maswali yako yatakavyo pata majibu.Jifunze kuumiza bongo unapokabiliwa na maswali kama hayo usipende kuyatafutia majibu mepesi mepesi kama wanaCCM wengine wanavyofanya.