M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana...
Baada ya mkutano Heche awafanye kama alivyotaka kumfanya Kasmil
Yaani wewe ni dhaifu wa mwili, roho na akili!
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku
Enda kachukue posho white inn mchaga wewe kisha umpe Heche vilivyo vyake.
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku
Mawazo dhaifu kama yako na ya wenzio ndio yameifikisha nchi yetu hapa ilipo......nichukue posho mie kibaraka wa Nape kama wewe?.....mwanaume mzima unauza utu wako kwa elfu mbili per day????? ....aibuuuuuuu!
Baada ya mkutano Heche awafanye kama alivyotaka kumfanya Kasmil
Wahi white inn wewe ukakalie kiti chako.
Huna jipya kaka.....fanya kazi acha kutegemea elfu mbili za wanaume wenzio!
Heche kaharibu kizazi hiki, Kasmil ametufumbua macho.
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku