M4C: Lema aelekea Ujerumani

Halafu huku kijijini kwetu hawana tawi,hivi huko ujerumani kuna wapiga kura wangapi?
 
chapa mwendo kamanda, lazima tuwatwange kote kote, ndani tumetoka kuwaliza kilombero, nje tumetoka kuwaliza uk. kama vipi cheki na jamaa wa weakleaks watupatie majina ya hawa majambazi wa ccm waliochimbia mabilioni yetu pale uswis tuje tuwaongeze kwenye orodha ya watuhumiwa tutakaowapandisha kizimbani punde tu baada ya kuchukua nchi.

Pipoooooooooooooooooozz!!!! Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! M4C ngoma inogileeeeeeeeeeee!!

lazime waharishe hawa magamba na ujambazi wao wa mchana kweupe huku wamevaa suti.
 

Nafikiri wamegundua mchango wa Watanzania wenzetu walio nje unahitajika pia.
 
Kakimbia aibu, baada ya kufungua tawi lililokosa wanachama, linalo ongozwa na wauza unga, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataejiunga na chadema chini ya ma-drug dealers, sielewi Lema kaenda UK kwa dili gani na hawa madealers

Unaharibu hadhi ya JF, hao mafisadi wanaopora mali za nchi yetu wapo chama gani? wapi bora kati yao na madrug dealers?
 
Hivi uingereza, marekani, ujerumani na wenzao wanaojiita wameendelea, vyama vyao vya siasa vina matawi bongo? Acheni ulimbukeni.

punguza jazba mkuu! CHADEMA inataka iungwe mkono na kila mtanzania, wa nje na wa ndani so subiri ukombozi ukufikie.
 

wapemba bwana,uamsho wanaemaje ndugu?
 
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Wacha kujaza thread wewe kwani hujasikia Mbowe, Dr, Sugu, Lisu na wengine wanachofanya morogoro? M4C inapiga njee ndani mpaka wewe na akina rejeo mmbadili I'D hehehehe mwaka wenu Huu na bado Izo ni rasharasha Mwambie Nape aongeze alowernce kwani mtafanya kazi kwenye mazingira hatarishi zaidi ya haya soon. Ni mambo ya muda tuu na Saa inasogeza sekunde kwa kwenda mbele
 
Yaani wewe kwenye CDM viongozi woooote hawafai ila isipokuwa Zitto....kweli CDM inawasababishia watu msongo wa mawazo
 
Dopodopo badala ya kuishauri cdm wakati wewe ccm bora uishauri ccm na mwenyekiti wenu muache kuchokoza wanawake kwani mwisho wake ni Aibu badala ya ushindi
 
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.

Big up! Kura za majuu ni chache sana tunahitaji za vijijini na kuwaeleimisha jinsi ya kulinda kura zao! Majuu chap baba lakini urudi mapema tunakuhitaji uende vijijini tena na bendera nyingi tu. CDM tutashinda kwa kuwaelimisha wabongo wa hapax2 bongo.
 
Ponda raha mkuu manake hayo matawi yenyewe hayana manufaa zaidi ya kuongeza mzigo wa matumizi kwa chama.Eti go Lema upuuzi mtupu

We huna hata aibu mzigo gani kuliko CCM inavyotwisha watanzania mizigo kutokana na anasa zao za kila aina huku wananchi wakifa kwa matatizo ya kila rangi. Kazi anayoendea ina tija ndugu. Karaga baho
 
CCM wanajilaumu kumpa likizo ya ubunge kamanda Lema...amekuwa mwiba kuliko alivyokuwa bungeni.
 
mngetafuta watu wenye akili tiamu katika movts hizo za cdm
kwa sababu tangu nizaliwe sijawahi kuona vita inayoongozwa
nawahuni/watu wenye matusi,wasio na busara na wakurupukaji
ati vita hiyo ikashinda...thubutuuuuu
kweli mnacheza makida makida wajomba
kwa mpango huo wazee wa HAKIIIII(CUF) na MAGAMBA JAZZ BEND
au ile kwaya ya akina KAFULILA na MACHALI itawashinda wajameni
 
Dopodopo badala ya kuishauri cdm wakati wewe ccm bora uishauri ccm na mwenyekiti wenu muache kuchokoza wanawake kwani mwisho wake ni Aibu badala ya ushindi

Unajua kwenye vyama hivi vya upinzani kuna maluki waliopandikizwa na chama tawala, sasa wewe kama ni cdm basi ni cdm mamluki, ndio maana hutaki cdm washauriwe, hasa ushauri ule utakao wajenga. ushauri wa kuwajenga lazima uwe wa ukweli, ukweli siku zote unauma, sio wewe tu uliyepata maumivu ya ukweli wa ushauri wangu kwa cdm mko wengi na nimeziona posts zenu. ila waambie hao viongozi wa cdm wafanye mambo kwa priorities vinginevyo hawatakuwa tofauti na ccm, kwani ndicho kilicho washinda ccm siku zote, kutokuwa na vipaumbele.
 
Kakimbia aibu, baada ya kufungua tawi lililokosa wanachama, linalo ongozwa na wauza unga, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataejiunga na chadema chini ya ma-drug dealers, sielewi Lema kaenda UK kwa dili gani na hawa madealers

Kudadekiii!

M4c ikiwaacha safari hii labda tusiwepo Tanzania yetu hii!

Mpaka mafisadi mjinyonge ama mvishane vitanzi wenyewe!

Mafisadi wakubwa nyie!
 
chanja mbuga kamanda daima tupo nanyi kuelekea kwenye ukombozi wa kweli...aluta continue!!!

Acha kutuzuga, mbona yupo nchini leo alikuwa anamlaki Costa Mahalu pale mahakama ya Kisutu? Jamaa yupo bongo tu
 
Dopodopo napenda kushauriwa ila ushauri wako hauna mashiko kwani umesema Lema akajenge chama vijijini wakati umeona mgawanyo wa majukumu kwani Moro Dr slaa na timu nzima Ndio wanachokifanya kama chama lazima kikubalike njee na ndani ya nchi...nashukuru kwa ushauri wako japo Kati ya wanaokushauri huwezi kukubaliana nao kwani wako wapotoshaji pia



 

Ubishi ni kipaji kama vilivyo vipaji vingine vyote ambavyo mwanadamu kajaaliwa na Mungu, narudia tena hiki cdm wanachofanya si sahihi, lazima tuwashauri kuwa raslimali chache walizonazo wahakikishe wanazitumia vizuri, na nguvu zao waelekeze vijijini maana huko ndio kuna wajinga wengi wa elimu ya urai na ccm wanautumia ujinga wa hao wa vijijini kama mtaji wao wa kisiasa. sasa kama huu ushauri unuona hauna mashiko au unakuhalalishia kuwa mimi ni ccm.sina cha kufanya kwani hayo yatakuwa matatizo yako.
 
HIVI TUNAENDA WAPI NA HAYA MATAWI YA CDM? KWANINI TUSIFUNGUE HATA OFISI ZA CHAMA VIJIJINI? SASA UJERUMANI HAO WAJERUMANI WATAPIGA KURA? Tufungue matawi hata ya nyumba moja hapa kwetu TANZANIA.USHAURI TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…