AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Mimi kama kijana mwenye vision za mageuzi pia member wa jeshi kubwa CHADEMA napata wasiwasi na uchungu mkubwa juu ya hii M4C kwani naona kama vile inapikia chakula waloshiba na kuwaacha wenye njaa kuendelea kufa.
Nasema haya kwa sababu mimi natokea Tabora ambapo CCM imejiwekeza kule na kila uchaguzi hupata kula zaidi ya 70% huku hali ya maisha kuendelea kuwa duni kwa watu wa huku kwa ajili ya kukosa Mkombozi kutoka chama makini CHADEMA.
Iwaje M4C i-base mule mule kwa walioshiba na elimu wa mageuzi ( mwanza,shy, Arusha etc) huku M4C ikiacha sehemu kama Tabora ambapo watu wake wanazidi kufa kwa njaa na kiu ya elimu ya mabadiliko?!
Pia kwanini kigoma CDM nguvu ipo chini sana wakati zitto yupo! Kwann zitto asipewe M4C kuikomboa kigoma au kuna nn nyuma ya pazia? Au kura za kanda magharibi hazihitajiki kwa CDM? Viongozi wetu wa CDM na wanamageuzi tunataka ufafanuzi juu ya hili.
SOLIDARITY FOREVER.