Samahani MODS,kwakuwa sheria hukata pande zote bila upendeleo,neno'' MASABURI''Lilishatumika kama tusi na nimeshawahi kulitumia hapa kwenye QUOTE yangu moja nikapigwa BAN,hivyo basi HUYU m 23 anapaswa kupewa haki yake ili akili yake ijue kujibu hoja badala ya matusi,pia itakuwa fundisho kwake kuwa mstari wa mbele kutumia lugha ya staha,naamini mtalishughulikia ili ajifunze ustaarabu.:A S shade::A S shade::A S shade:
utapakuliwa hadi visivyo liwa hao jamaa mashabiki tu hawana hata kadi
comrade kipepe wa gazet la san miaka hiyo
mleta uzi anaitwa bang kumbe magaidi mna kwenda na bang kama talebani
marando mzee wa eda estet yupo hapa kamanda wetu wa tiss atafanya kaz kama alivyo fanya nccr
comrade kipepe wa gazet la san miaka hiyo
wanataka mabomu ya machoz wameyamis sana
utapakuliwa hadi visivyo liwa hao jamaa mashabiki tu hawana hata kadi
mnatengeneza picha tena kama za rwakatale hamogopi jela mtaisha vijana
acha upuuzi huu nao ni uzi leo kila mtu ataje diwani wake anafanya nn jf si itajaa masabur kazin
Wewe hujui kuwa huo ni msafara wa wakubwa wa nchi tarajiwa??Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole