M4C Dar es Salaam - ushari kwa CHADEMA

M4C Dar es Salaam - ushari kwa CHADEMA

Joined
May 8, 2012
Posts
56
Reaction score
12
Pamoja na kuwa nimeshawaambia viongozi, pia naomba niweke hapa.
Wakati tunazindua M4C Arusha moja ya challenges ilikuwa mitandao Kwenda down na Watu walishindwa kuchangia, hivyo basi safari hii tujitahidi isitokee sabotage ya akina yeyote.
Ombeni special numbers za 2 digits Vodacom na kwingineko. Account iwe kwa jina la chama na si la mtu binafsi.
Mwenyekiti ageless watanzania jinsi hizo pesa zitatumika.
 
Back
Top Bottom