M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

hata siku mkutano wa CHADEMA hautakosa wahudhuriaje uyu kapiga pic mapema aje kutafuta posho humu

T2015CDM
 
stupid ,hiyo ni Kigogo na hapo ilikuwa m4c bado haijazinduliwa.......ilikuwa ni kile kipindi baada ya mafuriko,na watu walijaa sana.wewe hizo picha ulipiga mapema sana wakati wananchi ndiyo wanaanza kuingia.m4u inawakosesha usingizi eeeeeh?
 

Does this really help this nation ? Are you one of the JF great thinkers ? Are you a great thinker ?Shame on you .Ushabiki huu wa kijinga unalisaidia nini Taifa ?
Kwa nini unafanya siasa na maendeleo ya Nchi kuwa fitina na chuki ?
 
Mi faida ninayo iona ni jamaa kukuza kitambi na posho za safari. Tangu ameanza na hii M4C naona amenawiri kweli.
 

Mkuu protocal za mkutano zinajulikana kwamba msemaji mkuu husema mwishoni. Hapo naona Lema amesimama anahutubia; hakuwa msemaji mkuu huyu?
 
stupid ,hiyo ni Kigogo na hapo ilikuwa m4c bado haijazinduliwa.......ilikuwa ni kile kipindi baada ya mafuriko,na watu walijaa sana.wewe hizo picha ulipiga mapema sana wakati wananchi ndiyo wanaanza kuingia.m4u inawakosesha usingizi eeeeeh?

Acha kujidanganya wewe,, Blue unaita nyekundu!!! wewe unawaona viongozi wote wako jukwaani na picha nyingine inawaonesha wananchi wakiinua mmikono juu (angalia picha ambapo kuna huyo mshikaji kavaa jezi #3), halafu unajipa moyo eti mkutano ulikuwa haujaanza. Mkuu hizo ni rasha rasha tu,, mpaka kufikia 2015 itakuwa KWISHNEY!!! Uchu wa madaraka ya kila mmoja kutaka Urais itawasambaratisha fasta
 
Mbowe kiboko, hilo ndio Fuso la (million 350?) TZS 350,000,000?

Duh!

No wonder baada ya kuuza hilo kashusha VX 8 za mtumba sita kwa mpigo.
 
umepiga picha nusu nusu,ebu angalia vimvuli,nyuma ya hao watu unaowaona kuna vimvuli,ungewapiga picha na hao
 
Achana na vioja ukweli utajitenga siku moja. Luther king alisemaga kuwa siku moja america itatawaliwa mtu mweusi na ndiyo ilivyo sasa tena kutoka africa mashariki. Pigeni propaganda lakini iko siku nguvu ya umma itaamua hatma yao
 
ww umelogwa tena aliye kuloga amekufa chadema is most than ur dignity.
 
Jeykey Nifafanulie kwa huyo jamaa mwenye T shirt ya njano aliesimama,picha inakuumbua hiyo,huyai edit vizuri,huo mkono wa kushoto umepotelea wapi? au jamaa ana kipande cha mkono? kwa physics ya form one tu unatambua makosa hapo,KAJIPANGE uje tena Jeykey
 
Last edited by a moderator:
Nifafanulie kwa huyo jamaa mwenye T shirt ya njano aliesimama,picha inakuumbua hiyo,huyai edit vizuri,huo mkono wa kushoto umepotelea wapi? au jamaa ana kipande cha mkono? kwa physics ya form one tu unatambua makosa hapo,KAJIPANGE uje tena Jeykey
hii umeikata,ile picha ya mwanzo ndo kuna vimvuli
 
haiwezekani na haitatokea kwa ss,cdm kukosa watu!baadae san.....believ me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…