M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Nimekuja kuamini kuwa chadema kwa Dar es salaam ni kama kuchora kwenye maji
Naona lema anaangaika Dar kukusanya watu alikini anatoka patupu sijui inakuwaje
chama hakikubaliki Dar es salaam


Hebu angalia hizo picha za Lema akiwa Tabata akihutubia watu



PICT0605.JPG





 
Mwenye macho hambiwi Tazama!Naukiona mtu anajikuna ujuwe anawashwa!Nadhani alianzisha hii thread ameelewa?
 
naona wanazi wa chadema wanachungulia wanasema
mambo yanakalibia kudondoka :flypig::flypig::nerd::nerd::nerd😡bujibuji
 
Siku zote mji hauchangamki asubuhi.. Ungekaa hapo hadi mwisho ungeona nini kiluendelea.. Gamba Gamba 2!!! M4C Motooo
 
haha wa dar wanajua yte hta kma wasipojitkeza wanatafta rizki lakn cku ya uchaguzi hkna mwenye akili timamu atajisumbua kpanga foleni kpgia kura ccm lbda awe kichaa na hajielewi
 
Ni kweli kabisa hapa dar wajinga ni wengi kwani kila kitu wanacho na taarifa wanazipata kuliko hata mikoani lakini ndo wako nyuma kimageuzi, ingetegemewa dar iwe chanzo cha mageuzi lakini hapafai. Hata ukifuatilia historia ya mageuzi ilianzia pembezoni mwa nchi. Kama tarime, kigoma, arusha, pemba nk. Huko watu ndo wanaelewa kuliko hapa dar ambako wamejaa wasomi lakini waoga. Nawashauri tu wanamageuzi dar sio kwa kutegemea hata kidogo. Kazi yao ni kulalamika kwenye miarobaini na mikorosho tu hawana courage. Jiimarisheni mikoani mtafanikiwa sio dar.
 
Aisee naona umati si wa kawaida, Lema anaunguruma watu wote wanaonyesha ishara ya vidole viwili. people power.......... CDM lazima mtachukua nchi 2015, yani umati wote huu, si mchezo.
 
Mbona husemi tabata gani mkuu nilihudhuria mkutano wa tabata shule watu walikuwa wengi sana yawezekana kwa sababu zako binafsi uliamua kupiga picha mapema sana kabla ya mkutano ili uje hapa jamvini kutupotosha ole wako wewe upotoshaye leo kwan 2015 utalia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom