balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,507
- 15,125
Mtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
Nenda Monusco ukawasaidie wacongo kupata amaniMtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
Keyboard warrior una vitukoMtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
Keyboard Hero 😂😂Keyboard warrior una vituko
nimejkuta nacheka sana,Mtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
kwa tz, sahau, hili nalo litapita.KUNA KITU KINANIAMBIA KUWA kuna kitu kitaenda kutokea TANZANIA kisicho cha kawaida
Omba connection za Alshabab maana hao hawana shughuli ya kitoto.Mtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
Kwenda pale kisutu umeshindwa ndyo utaweza kuvumilia milio ya mabomuMtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
Aisee! Naona unajilipua sasa!Mtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
Bei ya kilo ya unga sokoni unaijua?Mtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
hicho kitu bila shaka ni bangiKUNA KITU KINANIAMBIA KUWA kuna kitu kitaenda kutokea TANZANIA kisicho cha kawaida
Ni Sahihihicho kitu bila shaka ni bangi