VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,465
Mafuo, Biholo, Shoa, Bwambaliro, Busoro, Kinyeere, Burora na Ngesha ni vijiji 8 ambavyo M23 imepata baada ya vita kati yake na FARDC ikishilikiana na wazalendo, huko Masisi, Kivu kasikazini. Ni katika mapambano yaliotokea September 7, 2025.